Friday, January 27, 2017
WAENDESHA MASHINE ZA UFUMAJI – TANZANIA –CHINA FRIENDSHIP TEXTILE COMPANY LTD.
Tanzania –China Friendship Textile Company Ltd. Ni kampuni ya ubia kati ya serikali ya Tanzania na China . kiwanda cha urafiki ni moja ya viwanda vikuwa vya nguo nchin.  Ili kufifkia malengo ya kiuzalishaji kati ya viwanada vikubwa , kiwanda kinahitaji wafanyakazi wa kutosha na wawae na ujuzi.  Kwa wakati huu kuna nafasi 122 za waendesha mashine za ufumaji

KAZI WAENDESHA MASHINE ZA UFUFMAJI
SIFA ZA MUOMBAJI
-          Cheti cha shule ya msingi au sekondari
-          Cheti cha mafunzo kama kipo
-          Barua au hati kutoka kwa mwajiri kuthibitisha kuwa unafanya au uliwahi kufanya kazi ya uendeshaji mashine ya ifumaji (kama huna cheti cha mafunzo)
UZOEFU
-          uzoefu wa mwaka mmoja na zaid katika kazi ya kuendesha mashine za ufuMaji
MAELEZO YA KAZI
-          utafutaji wa kazi ya kuendesha mashine kulingana na maelekezo ya kiufundi na idadai ya mashine ulizopangiwa
-          utaendesha mashine kwa uhidari na bidii kufifkia malengo uliyopangiwa
-          utafuma kitambaa kwa kuzingatia viwango vinavyotakiwa na kuhakikisha kuwa hakina dosari yoyote ya kiufundi
-          baada ya kumaliza kazi utazima mashine na kuiacha ikiwa katika hali ya usafi na usalama
-          utatekekeza kazi zingine zinazoendana na ufumaji kadri utakavyo pangiwa
WENYE SIFA ZILIZOTAJWA HHAPO JUU WATUME MAOMBI YAO WAKIAMBATNISHA
-          cheti cha shule ya msingi au sekondari
-          cheti cha mafunzo
-          picha moja passport
-          Barua au hati kutoka kwa mwajiri kuthibitisha kuwa unafanya au uliwahi kufanya kazi ya uendeshaji mashine ya ifumaji (kama huna cheti cha mafunzo
JINSI YA KUTUMA MAOMBI
Mwisho wa kupokea maombi ni tarehe 10 February 2017 maombi yaletwe moja kwa moja kiwandani urafiki Ubungo au yatumwe kwa njia ya posta kwa kutumia anuani ifuatayo
MENEJA MKUU,
TANZANIA –CHINA FRIENDSHIP TEXTILE COMPANY LTD,
S. L. P 20842
DAR ES SALAAM

0 comments:

Post a Comment