Tuesday, November 15, 2016

S.L.P. 11836
Simu: +255763 394 965
Dar-es-Salaam
Tanzania
Barua pepe:

NAFASI ZA KAZI ZA ULINZI KATIKA OFISI YA CHAMA CHA WAUGUZI TAIFA:
Walinzi wawili (2) wanahitajika kwa ajili ya kufanya kazi maeneo ya Dar es Salaam. Wawe wamepitia mafunzo ya jeshi ngazi ya JKT, Mgambo au mafunzo mengine yoyote yanayofanana na hayo.

Sifa zingine ni:
1. Mlinzi lazima awe na elimu ya angalau kidato cha nne
2. Awe na uzoefu usiopungua miaka 2
3. Awe na rekodi nzuri,asiwe na makosa yoyote ya jinai
4. Awe na uelewa wa kazi ya ulinzi na usalama.

Jinsi ya kutuma maombi
1. Tuma taarifa binafsi kwa kutumia barua pepe
2. Tuma maombi yako kwa kutumia barua pepe kama ilivyoelekezwa hapo chini
MUHIMU: Jiandae kuwasilisha taarifa zifuatazo kama utaitwa kwa ajili ya usaili
1. Barua ya utambulisho wa serikali ya mtaa
2. Wadhamini wako watatu, barua zao za udhamini,picha zao 3 kila mmoja
3. Picha zako 3 (passport size)zilizochukuliwa hivi karibuni
4. Vyeti vyako halisi ya elimu na mafunzo ya kijeshi
Tuma maombi yako kwenye anuani au barua pepe hapa chini:
Mkurugenzi wa Maendeleo
Chama Cha wauguzi Taifa ( TANNA)
S.L.P 11836
Dar es salaam,
Tanzania
Barua Pepe: info.tannahq@gmail.com
Au ipitie kwa wakala wetu CHADO Recruitment Agency chadobusinesslink@gmail.com
Mwisho wa Maombi haya ni tarehe 30, Novemba 2016 saa 9:30 muda wa masaa ya kazi

0 comments:

Post a Comment