Friday, October 07, 2016
2

NAFASI ZA KAZI LODHIA STEEL INDUSTRIES LIMITED
Tuna karibisha maombi ya kazi kwa watu walio hitimu na wenye ujuzi na uzoefu katika nafasi zifuatazo

1.       WASIMAMIZI (NAFASI 3)  NA WAFANYAKAZI WENGI KWA
-          Kitengo cha neli(TUBEMILL)
-          Kitengo cha kupasua(SLITING LINE)
-          Kitengo cha kukata(CUT –TO LENGTH LINE)
2.       MAFUNDI UMEME WA NELI KUPASUA NA KUKATA
Wale wenye uzoefu wa miaka 3 watapewa umuhimu
3.       WAENDESHA KEREZO/MASHNE
-          Wale wenye ujuzi wa khali ya juu kuendesha mashine ndiyo wanapaswa kutuma maombi
4.       WASIMAMIZI
Wawe na shahada au stashahada ya ufundi mitambo(injinia)
5.       MAFUNDI UMEME(ELETRICIAN)
Wawe na shahada au stashahada ya injinia ya ktk uhandisi wa umeme na uzoefu wa uendeshajo wa virekebishi mitambo
6.       WATUNZA GHALA/NA WATUNZA GHALA WASAIDIZI
Ujuzi wa komputa na  ni lazima na pamoja uzoefu wa miaka 3 hadi 5 ya utunzaji wa ghala kwa mtunza ghala na ujuzi wan a uwezo wa kupanga mali kwa unadhifu kwa wasaidizi wa ghala
7.       MAKARANI WA KUAGIZA AU KUPOKEA BIDHAA
Uzoefu wa kazi hii inatakiwa watu wenye ujuzi watapewa  umuhimu. Awe na ujuzi wa kompyuta uwezo wa kuwakilisha taarifa katika iwsahili na kingereza
8.       MENEJA UTUMISHI/RASILIMARI WATU
Tunahitaji mwanasheria mwenye uzoefu na uhusiano na idara ya serikali inayohusika na sheria mtaartibu na anayeweza kutawala harira zake
9.       WAHASIBU
Wenye ujuzi wa kutayarisha taarifa za mahesabu wenye uelewa a miandao tofauti,uelewa wa sheria ya kodi, ya thamani (VAT) na sheria zinazohusu malipo. Mwombaji aweze kuzungumza Kiswahili na kingereza kwa ufasaha
10.   BWANA AFYA/USALAMA
Msimamizi na ujuzi mwenye ufahamu na maswala ya (health and safety) katika mazingira  hatarishi ya ufanyaji kazi kwa wafannyakazi na maeneoo yanayozungukia kiwanda kuzuia ajali na awe na ufahamu wa kutoa huduma ya kwanza
11.   KARANI WA MALIPO
Uzoefu wa miaka miwil katika nafasi hii aelewe shaeria zinazohusu malipo awe na ujuzi na kompyuta
12.   KARANI W MAPOKEZI
Mwombaji awe na mwonekano nadhifu, aongee kingereza na Kiswahili kwa ufasaha mjuzi wa kutumia cm za EPABX na mweny haiba nzuri

Maombi yatumwe yakiambatanishwa na CV  PAMOJA NA NAKALA ZA VYETI KA KUTUMIA EMAIL  info@lodhiagroup.com mwisho wa kupokea maombi tarehe 10 Oktoba 2016

2 comments: