Tuesday, November 24, 2015
CHUO CHA TAIFA CHA USAFIRISHAJI

TANGAZO LA KUJAZA NAFASI ZA KAZI KWA
UTARATIBU WA UHAMISHO

Mkuu wa Chuo cha Taifa cha Usafirishaji anawatangazia Watumishi wote wa Serikali (Watumishi wa Umma) ambao wangependa kufanya kazi na Chuo cha Taifa cha Usafirishaji kuwa Chuo kina nafasi zinazotakiwa kujazwa kwa njia ya uhamisho.

Vigezo na Masharti:-

(i) Waombaji wote wanatakiwa wawe Watumishi wa Serikali (Watumishi wa Umma).
(ii) Barua za maombi ya Uhamisho lazima zipitishiwe kwa Mwajiri na zigongwe Muhuri.
(iii) Waombaji wote wanatakiwa kuwa na sifa na vigezo kama zilivyoainishwa kwenye mchanganuo wa nafasi hizo.
(iv) “Result Slip”, “Testimonials” na “Partial Transcripts” havitakubaliwa.
(v) Vyeti halisi vya elimu vilivyotolewa na Shule/Vyuo vya nje ya Nchi vinatakiwa viwe vimetambuliwa na mamlaka husika TCU na NACTE.
(iv) Maombi hayo yatapolekewa ndani ya muda wa wiki mbili (2) kuanzia kutolewa kwa Tangazo hili, na yatatumwa kupitia anuani ufuatayo:-

Mkuu wa Chuo
Chuo cha Taifa cha Usafirishaji
S.L.P. 705
DAR ES SALAAM

NAFASI 22 ZINAZOTAKIWA KUJAZWA KWA NJIA YA UHAMISHO

Kada: Senior Legal Officer I (Nafasi 1) 

Sifa za Kielimu

•    Holder of LL.M Degree or Postgraduate Diploma in Legal Practices (with a good first Degree) with at least seven (7) years relevant working experience in a similar position or eight (8) years in the field.
•    Must be registered as an Advocate of the High Court.

Kada: Senior Human Resources & Administration Officer I (Nafasi 1)

Sifa za Kielimu

•    Holder of a Master's Degree with at least seven (7) years relevant working experience in the field.

Kada: Estate Management Officer I (Nafasi 3)
Sifa za Kielimu

•    Holder of a Bachelor's Degree in Environmental Engineering, Architecture, Building Economics, Civil Engineering, Land Management and Valuation or any other equivalent qualification from a recognized Institution with at least three (3) years of working experience in the field.
•    Must be registered as a Graduate Engineer/ a Valuer with the relevant Board.

Kada: Senior Records Mgt. Officer II (Nafasi 2
Sifa za Kielimu

•    Holder of a Bachelor's Degree in Records Management & Archives or any other equivalent qualification from a recognized Institution.
•    Must be computer literate with experience of not less than five (5) years in the field.


Kada: Planning & Investment Officer I (Nafasi 1)

Sifa za Kielimu

•    Holder of a Bachelor's Degree in Economics, Educational Planning, Management, Engineering Management, Statistics, Architecture, Human Resource management, Public Administration, System Analysis or any other relevant field with working experience of three (3) years in the field.

Kada: Senior Driver II (Nafasi 1)

Sifa za Kielimu

•    Holder of Form IV Certificate with passes in Kiswahili and English plus valid Class C Driving License and working experience of at least five (5) years in a similar position and Must possess Trade Test Grade I in Motor Vehicle Mechanics and Advanced Drivers Certificate II from a recognized Institution such as NIT or VETA.

Kada: Driver II (Nafasi 1)

Sifa za Kielimu

•    Holder of Form IV Certificate with passes in Kiswahili and English plus a clean valid Driving License at appropriate class and working experience of at least three (3) years in a similar position and must also possess Trade Test Grade II in Motor Vehicle Mechanics and Driving Certificate Grade II from a recognized Institution such as NIT or VETA.

Kada: Personal Secretary I (Nafasi 4)

Sifa za Kielimu

•    Holder of a Diploma in Secretarial Studies from a recognized Institution plus 100/120 wpm in English and Swahili and 50 wpm in typing, tabulation and Manuscript stage III, Secretarial duty and Office Procedure stage II. Has completed an Advanced Computer Courses of not less than six (6) months from the government recognized Institution with experience of not less than three (3) years in the field.

 Kada: Accountant II (Nafasi 3)

Sifa za Kielimu

•    Holder of a Bachelor's Degree in Accountancy, Commerce, Business Administration, Finance, Marketing, Economics with Module C or equivalent Accounting qualification.

Kada: Library Officer I (Nafasi 1)

Sifa za Kielimu

•    Holder of a Bachelor Degree in Library Science, Librarianship, Information Studies or equivalent qualification from any recognized Institution with working experience in a related field for at least three (3) years.

Kada: Public Relation Officer I (Nafasi 1)

Sifa za Kielimu

•    Holder of a Bachelor Degree in Journalism, Mass Communication, Marketing or equivalent qualification with three (3) years working experience in relevant field.

Kada: Senior Admission & Examination Officer II (Nafasi 1)

Sifa za Kielimu

•    Holder of Master's Degree in Statistics, Business Studies, Psychology or equivalent qualification plus ICT skills with working experience in a related field for at least five (5) years.

Kada: Office Mgt. Secretary II (Nafasi 2)

Sifa za Kielimu

•    Holder of a Diploma in Secretarial Studies from a recognized Institution plus 100/120 wpm in English and Swahili and 50 wpm in typing, tabulation and Manuscript stage III, Secretarial duty and Office Procedure stage II.
•    Has completed an Advanced Computer Courses of not less than six (6) months from the government recognized Institution with experience of not less than five (5) years in the field.

0 comments:

Post a Comment