Saturday, October 24, 2015

Kwa watumiaji wa portal.ajira.go.tz, website ya sekretatieti ya ajira (utumishi) ambayo hutumika kufanya applications za kazi kupitia system moja. Utumishi walitoa user guide kwa ajili ya kurahisisha process za applications.

Download hapa: Online Application User Manual.pdf


Una tatizo au unahitaji maelezo: AJIRA TANZANIA ONLINE DISCUSSIONS