Saturday, October 24, 2015

AJIRATANZANIA.ORG

ANNOUNCEMENT

MAELEZO
ajiratanzania.org inapenda kuwafahamisha kua kuanzia leo tarehe 23/10/2015 tutakua na section ya discussions (forum) kwa watumiaji wa website yetu yaani wanaotafuta ajira, walioajiriwa, wanaotaka kujiajiri na waliojiajiri tayari, wajasiriamali pamoja na watafuta scholarships. Hii itawezesha members kupata fursa ya kushare fursa mbalimbali kama zilivyoorodheshwa hapo juu. Vilevile itakua ni fursa ya waajiri na watafuta ajira kukutana kwa urahisi. Una swali lolote kuhusu ajira? Utauliza na wengine watakusaidia.

Kutumia forum, bofya http://forum.ajiratanzania.org

Au kupitia navigation menu imeandikwa "FORUM" mara tu ufunguapo ajiratanzania.org

Support team
ajiratanzania.org